JB WA BONGO MUVI AAMUA KUJIPOTEZA!
Muigizaji
mkongwe kwenye filamu nchini, Jacob Steven ‘JB’. MUIGIZAJI mkongwe
kwenye filamu nchini, Jacob Steven ‘JB’ ameamua kujipoteza kwa makusudi
katika uigizaji akiwa na lengo la kuweka mbele kazi zinazofanywa na
kampuni yake ya uzalishaji sinema ya Jerusalemu.Akipiga stori na gazeti
hili, JB alisema mwaka 2014 filamu zake tatu za Bado Natafuta, Wageni
Wangu na Chausiku zilifanya vizuri sokoni.
“Kwa
asilimia 80 mwaka huu kwangu umekuwa mzuri kikazi, nimefanya kazi nzuri
bila mimi kuonekana kwa sababu nataka Jerusalemu ianze halafu mimi
baadaye ndiyo sababu kubwa iliyofanikisha muvi zangu zote kufanya
vizuri, sitaki kuwa naonekana mara kwa mara kwenye filamu,” alisema.
Maoni
Chapisha Maoni