MAYWEATHER HII SASA SIFA, ANGALIA MAGARI ANAYOMILIKI, HADI NDEGE!



POTELEA MBALI HATA UKISEMA HII SASA NI SIFA. ANGALIA JAMANI BONDIA FLOYD MAYWEATHER ANAMILIKI MAGARI YA KIFAHARI HADI YA THAMANI YA DOLA MILIONI 5.45. PIA ANAMILIKI NDEGE, AKIAMUA ANAINUKA TU ANGANI. JAMANI....HII SASA SIFA, EEEH!



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA