HILI NDILO JAMBO LILILOMKUTA MSANII AY, INASIKITISHA SANA
AY ambaye
kwa sasa yupo jijini Nairobi, Kenya, ameiambia Bongo5 kuwa anashangaa
kugundua kuwa namba yake ya simu inapatikana wakati chip anayo yeye na
haipo kwenye simu.
Fundi Frank ni miongoni mwa marafiki wa AY walioombwa fedha na mtu huyo
Kuna mtu amehack namba yangu ya Tigo anaomba watu pesa
Kuna mtu amehack namba yangu ya Tigo anaomba watu pesa
HIZI NI BAADHI YA TWEET ZA AMBWENE YESSAYA
— Ambwene AY (@AyTanzania) January 12, 2015Niko Kenya line yangu iko off but nashangaa huko Tanzania iko ON na inatumika
— Ambwene AY (@AyTanzania) January 12, 2015Kufuatia tukio hilo, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ameziagiza mamlaka husika kufuatilia haraka jambo hilo.
“@Tigo_TZ: @JMakamba @AyTanzania tunalipeleka swala hili kwenye idara husika lifanyiwe uchunguzi.”>>>lipatiwe ufumbuzi.— January Makamba (@JMakamba) January 12, 2015
Maoni
Chapisha Maoni