GARI MPYA ANAYOMILIKI WIZKID INA THAMANI YA SHILINGI MILIONI 384 ZAKITANZANIA!


Wizkid anasherekea mwaka 2015 akiwa ameingiza gari mpya ndani ya yard yake ya magari, staa huyu kutoka nigeria mwenye umri wa miaka 24 amenunua gari aina ya 2015 Bentley Continental GT lenye thamani ya dollar za kimarekani $226,344 sawa na billion 384 za kitanzania, kupitia akaunti yake ya instagram aliandika hivi; 
New year whip! Thankful to God: we been grinding son!
Hizi ni baadhi ya picha za gari linavyoonekana!

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Ndege ya C-130: Mabaki yake yapatikana yakiolea katika maji Chile