Nani Zaidi Kwa Uzuri Kati ya Wema Sepetu na Zari The Lady Boss ?
Kwenye Mitandao ya Jamii Hasa Instagram kwa
Sasa zimeibuka Team Mbili Kubwa zinazoshinda huko kwa Kupeana Vijembe
vya Hapa na Pale Kuhusu Wema Sepetu na Mrembo Zari The Lady Boss wa
Uganda, Ushandani huo wa Team Zari na Team Wema Umekuja Baada ya
Mwanamuziki Diamond Kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi na Wote hao wawili
kwa Muda tofauti ambapo kwa sasa Diamond Ameweka Wazi Kuwa anatoka na
Zari ...
Ubishi mmoja wapo ni kuwa nani ni mzuri wa
Umbo na Sura kati ya wema Spetu na Zari , Nasisi hatuna hiyana tumeona
tuwabambanishe Hapa tuone nani atapata kura nyingi ...
Haya Nani Mrembo zaidi kati ya Wema Sepetu na Zari The Lady Boss?
Maoni
Chapisha Maoni