WALICHOKISEMA MAPROFESA WA UDSM KUHUSU ISHU YA DIAMOND KUPEWA SHAHADA YA UDAKTARI
Ni
kama wiki moja sasa tangu kuenea kwa habari ya kua Diamond Platnumz
atapewa shahada ya Udaktari katika chuo kikuu cha Mlimani. Baada ya
taarifa hizo kuenea sana tumebahatika kupata mahojiano ya maprofesa
wawili kutoka chuo cha Mlimani wakizungumzia ishu hii.
Wote
wawili wamekubali kua Diamond ni msanii mkubwa lakini hajafikia hadhi ya
kupewa shahada ya heshima ya udaktari.Angepata tu endapo tu angefanya
jambo ubwa na kusaidia jamii na kwamba kuimba na kupendwa na watu si
kigezo kikubwa cha kupewa tuzo hizo.
Maoni
Chapisha Maoni