SINEMA YA BURE LIVE: BABA WA MSANII ASHUSHA KICHAPO!
Baba
huyo akizuiwa ili asiendelee kushusha kichapo hicho. Kwa mujibu wa
mashuhuda wetu, tukio hilo lilijiri juzikati, maeneo ya
Mwananyamala-Komakoma jijini Dar ambapo awali binti huyo ambaye ni
msanii chipukizi wa kuigiza aitwaye Jeniffer alidaiwa kupigwa mkwara na
baba yake kuwa asijishughulishe na masuala ya muvi na badala yake
ajikite kwenye masomo yake kufuatia tasnia hiyo kuhusishwa na skendo za
ngono.
Baba mmoja ambaye jina halikupatikana mara ameshusha kichapo kwa wasanii ambao ni maprodyuza waliokuwa wakimchezesha mwanaye filamu bila ridhaa yake
Maoni
Chapisha Maoni