MAMA SALMA KIKWETE AFUNGUKA JINSI ALIVYOKUTANA NA RAIS KIKWETE
Mama Salma kikwete
MAMA SALMA ; Swali: Ni ipi historia fupi ya maisha yako?
Jibu: Mimi naitwa Salma Rashid. Nilizaliwa katika wilaya ya Lindi Mjini, Novemba 30, 1963. Baba yangu anaitwa Rashid Yussuf Mkwachu na mama yangu ni Mwanapaza binti Shariff.
Kwa asili, baba yangu anatoka Sarai, Rufiji mkoani Pwani na mama yangu anatoka Lindi.
Maoni
Chapisha Maoni