ASKARI POLISI WA KIKE MWANZA AMKATA VIDOLE VINNE MFANYAKAZI WAKE KWA PANGA AKIMTUHUMU KWA KUMWIBIA DEKI YA VIDEO.
JESHI la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia
askari wake WP Fatuma wa Kituo cha Polisi Igogo wilayani Nyamagana kwa
kosa la kumjeruhi mtumishi wake wa ndani kwa mkumkata vidole vyake vinne
vya mkono wa kulia kwa panga, akimtuhumu kumwibia Deki ya Video
nyumbani kwake.
Maoni
Chapisha Maoni