CHAMELEONE:DIAMOND NIMSANII MCHANGA SIWEZI KUMUOMBA COLLABO
Chameleone
amesema kuwa application ya Mziiki ambayo Diamond ni balozi wake wa
Tanzania ipo kwenye mazungumzo naye ili kumfanya balozi wake wa Uganda
na hivyo ilimuomba afanye wimbo na Diamond kama anthem ya Afrika
Mashariki.“Lakini
we talked about business na hatujamalizana nao. Lakini sio eti mimi
nimempigia (Diamond) kumuomba tufanye collabo na kitu kama hicho,”
amesema Chameleone. “Wale wa Mziiki app ndo wanahitaji mimi na yeye
tufanye kazi ya anthem ya Mziiki app. Wanajaribu kuunganisha yeye na
mimi tufanye collaboration lakini sio eti mimi nimemu whatsapp na
nimemuomba collaboration , that’s not right,” amesisitiza hitmaker huyo
wa Valu Valu.
“Am not
at a level of asking for a collaboration from any artist in that manner.
Sio kwamba sina heshima yake (Diamond) au kitu kama hicho lakini that’s
not the truth, haiwezi kuwa hivyo. I have been doing music for the past
14 years, right? So I am not an upcoming artist.”
Maoni
Chapisha Maoni