GADNER AMKANA LADY JAY DEE MCHANA KWEUPE...!! HII SI SALAMA.
Hii imetokea jana katika tamasha maalum la kituo kipya cha kazi cha
Gardner E.FM ambapo Gardner alipanda jukwaani kujitambulisha mashabiki
waliokuwepo wakamuuliza shemeji
Jaydee yuko wapi? Akawajibu i am single boy now kisha akaomba awekewe nyimbo ya Single boy ya Ali Kiba
na kuicheza jukwaani huku akimpandisha jukwaani shabiki wa kike na
kumwambia amvue tishet yake kimahaba kuthibitisha usingo boy wake ambapo
demu huyo alimvua kwa staili hiyo gardner huku ukumbi ukilipuka kwa
shangwe.
Maoni
Chapisha Maoni