ZARI THE BOSS LADY AOKOKA,ABATIZWA DIAMOND PLATINUMS AAMBIWA, ATOA TAMKO

zariMzazi mwenzake Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’

MUSA MATEJA,
DAR ES SALAAM: Siri nzito imefichuka baada ya kusitiriwa tangu mwaka juzi kwamba, mzazi mwenzake Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ au mama Tiffah (35), mwaka huo aliokoka na akabatizwa kwenye kanisa moja la kiroho mjini Kampala, Uganda  

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA