BREAKING NEWS :MOTO WA RAIS MAGUFULI YATUA MWANZA,KIGOGO MWINGINE ATUMBULIWA LEO,AUANZA MWAKA 2016 VIBAYA


Naibu Waziri Tamisemi Suleiman Jaffo amemsimamisha kazi kwa muda Mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela jijini Mwanza John Wanga ili kupisha uchunguzi wa uhalali wa fedha zilizotumika kujenga fensi ya Halmashauri ya Wilaya.
Nafasi yake atakaimu Injinia Jacob Nathaniel hadi uchunguzi utakapo kamilika.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA