RAISI BARACK OBAMA AKIKIMBIA KUWAHI NDEGE BAADA YA KUTUMIA MUDA WAKE VIBAYA

Habari zilizogonga vichwa vya habari duniani ni tukio la Rais wa marekani barak Obama Kukimbia mbio kuwahi ndege baada ya kutumia muda wake vibaya na kwa mujibu wa taarifa toka state zinasema muda wa ndege ya Rais unapowadia basi huondoka bila kujali Rais yupo au hayupo kwa ajili ya usalama sisi tuendelee na malumbano bungeni

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA