BREAKING NEWZZ: KIGOGO MWINGINE MKUBWA WA SERIKALI ATIMULIWA KAZI MUDA HUU
Waziri
 wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe amemsimamisha kazi 
Mkurugenzi wa Mipango na Matumizi Endelevu ya Rasilimali za Misitu wa 
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Bw. Mohammed Kilongo na 
Maofisa wa Misitu wa Mikoa nchi nzima kupisha uchunguzi wa upotevu wa 
mapato ya Serikali.  

 
Maoni
Chapisha Maoni