Inchini Eritrea serikali imewambia wanaume wa inchi hiyo waoe wake zaidi ya mmoja,atakaekaidi atafungwa jela




Inchini Eritrea serikali imewambia wanaume wa inchi hiyo kwamba wajitahidi waoe wake zaidi ya mmoja,atakaekaidi atafungwa jela,vile Vile mwanamke atakaemkataza mmewe kuwa na mitala ni jela,eti hii imetokana na inchi hiyo kuwa na wanaume wwchache,wengi walipoteza maisha wakati wa vita dhidi ya Ethiopia, hii sasa ni hatari

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA