BREAKING NEWZZ....Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Mwaimu



Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Mwaimu na maafisa wengine wanne kwa matumizi mabaya ya fedha ya serikali.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA