MASKINI MZEE WASIRA YAMKUTA, ABWAGWA NA ESTER BULAYA KESI YA KUPINGA UBUNGE



Hukumu ya Kesi iliyofunguliwa na wapambe (wapiga kura) wa mzee Wasira ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimbo la Bunda yaliyompa ushindi Mhe Ester Bulaya imekamilika.

Katika hukumu hiyo Mhe Ester Bulaya kaibuka kidedea baada ya pingamizi lake aliloliweka Katika kesi hiyo kukubaliwa na mahakama hiyo na hivyo kufanya kesi hiyo kutupiliwa mbali.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA