Picha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam.   Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana  Sadick, ofisi ya Makonda ina kompyuta kadhaa za apple,mapambo mengi ya  kila aina yanayoashiria ufahari na utukufu wa hali ya juu kuliko hata  ofisi ya rais.   Nani aligharamia ufahari huu wakati hata ikulu haijabadili muonekano?  Kulikuwa na umuhimu wa kuweka ufahari huo katika kipindi hiki cha kubana  matumizi?  Nini kilipungua katika ofisi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa mpaka ufahari  uongezwe katika jiji ambalo limezungukwa na wananchi wenye hali ngumu na  maisha yasiyoridhisha.   By iparamasa      
 
Maoni
Chapisha Maoni