Spika wa Bunge Job Ndugai (kulia) akimwapisha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa , bungeni mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu Spika wa Bunge Job Ndugai (kulia) akimwapisha Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Philip Mpango, bungeni mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Dkt. Abdallah Possi akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akijibu swali Bungeni Mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Wabunge wakisikiliza hoja mbalimbali bungeni mjini Dodoma Januari 26, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Baadhi ya Mawaziri wa wizara mbalimbali wakisikiliza maswali na majibu Bengeni l...