Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2014

Hizi ndizo Ndege kubwa Duniani zinazobeba mizigo na zimetengenezwa kwa Technologia ya hali ya juu.HUBEBA NDEGE NYENZAKE KWA JUU

Picha
Hizi ndizo Ndege kubwa Duniani zinazobeba mizigo na zimetengenezwa kwa Technologia ya hali ya juu, Ndege hizi zote zimetengezezwa nchini (Ukrainian) na kampuni moja inaitwa {Soviet Union's Antonov Desig}     HIZI NDIZO SIFA ZA HIZI NDEGE ZA MIZIGO   SIFA ZAKE Crew:  6 Length:  84 m (275 ft 7 in) Wingspan:  88.4 m (290 ft 0 in) Height:  18.1 m (59 ft 5 in) Wing area:  905 m 2  (9,740 sq ft) Aspect ratio:  8.6 Empty weight:  285,000 kg (628,317 lb) Max takeoff weight:  640,000 kg (1,410,958 lb) Fuel capacity:  300000 kg Cargo hold – volume 1,300m 3 , length 43.35m, width 6.4m, height 4.4m Powerplant:  6 × ZMKB Progress D-18 turbofans, 229.5 kN (51,600 lbf) thrust each     UFANYAJI WAKE KAZI Maximum speed:  850 km/h (528 mph; 459 kn) Crui...

YASEMEKANA HUYU NDIYE DAKTARI ALIYE TENGENEZA VIRUSI VYA UKIMWI

Picha
Kirus kikiwa katika moja ya maumbo yake In April 1984, Dr. Robert Gallo filed a United States patent application for his invention, the HIV/AIDS Virus. Normally, when a patent is filed and approved, as Dr. Gallo’s was, anyone who uses the product or invention owes a royalty payment to the inventor. Thus, holding the intellectual property laws to their fullest interpretations, one must only wonder why Dr. Gallo has yet to file a lawsuit seeking to recover damages from the usage of his invention? As odd as this scenario may sound, it bears need for additional scrutiny. The scientific evidence is complete and compelling, the AIDS Virus is a designer bi-product of the U.S. Special Virus program. The Special Virus program was a federal virus development program that persisted in the United States from 1962 until 1978. The U.S. Special Virus was then added as ‘compliment’ to vaccine inoculations in Africa and Manhattan. Shortly t...

OBAMA MWISHO WA MATATIZO...MCHEKI ALIPOINGIA MTAANI KUNUNUA SANDWICH,

Picha
Rais wa Marekani, Barack Obama akikatiza katika maungio ya barabara ya 17 na Pennsylvania Avenue jijini Washington, D.C., baada ya kutoka kwenye mgahawa wa mtaa wa jirani kununua 'sandwich' . (picha: Pete Souza/ Ikulu "White House"). Wawakilishi wa Wananchi huko Bungeni 'wamemwekea usiku' na 'kumzingua' Rais Obama kwenye mipango yake inayotegemea bajeti ambayo waligoma kuipitisha, naye akatilia ngumu kubadili au kuondoa miradi yake.

NEWS » HATIMAYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AJIUZURU

Picha
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi lake – Ni kufuatia kashfa ya Tegeta Escrow

NEWS » HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AHUKUMIWA MIAKA 4 JELA

Picha
HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AHUKUMIWA MIAKA 4 JELA  Jolly Tumuhirwe (22). HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo. Jolly Tumuhirwe wakati akimtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18. Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima. Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.

HATIMAYE Regnald Mengi Amchumbia Jacqueline Ntuyabaliwe (K Lynn) Huko Dubai.

Picha
Tajiri anayeshika nafasi ya pili hapa Tanzania Mh Reginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe (Klyn) Tukio hilo lilitokea katika siku ya birthday ya Jack ambayo ilifanyika huko Dubai hapo ndi Mh Mengi alipoamua kumvisha pete mchumba wake huyo ambaye mpaka sasa wana watoto wa wawili ambao ni mapacha,Naye Jack alipoulizwa na Mheshimiwa huyo Will you “Marry Me” naye akajibu “I Do”

CHELSEA YAFUNGWA NA NEWCASTLE BAO 2- 1

Picha
Mshambuliaji wa timu ya Newcastle, Pappis Cisse akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 57 kipindi cha pili dhidi ya Chelsea katika  Uwanja wa St James' Park. Pappis Cisse (kushoto) akifungia bao la pili  timu yake ya Newcastle dakika ya 79.…

SINEMA YA BURE LIVE: BABA WA MSANII ASHUSHA KICHAPO!

Picha
Baba huyo akizuiwa ili asiendelee kushusha kichapo hicho. Kwa mujibu wa mashuhuda wetu, tukio hilo lilijiri juzikati, maeneo ya Mwananyamala-Komakoma jijini Dar ambapo awali binti huyo ambaye ni msanii chipukizi wa kuigiza aitwaye Jeniffer alidaiwa kupigwa mkwara na baba yake kuwa asijishughulishe na masuala ya muvi na badala yake ajikite kwenye masomo yake kufuatia tasnia hiyo kuhusishwa na skendo za ngono.  Baba mmoja ambaye jina halikupatikana mara ameshusha kichapo kwa wasanii ambao ni maprodyuza waliokuwa wakimchezesha mwanaye filamu bila ridhaa yake

BREAKING NEWZZZ.........KAMATI YA BUNGE YATOA MAPENDEKEZO VIONGOZI HAWA WAFUKUZWE NA WASHTAKIWE...KUTOKANA NA KASHFA YA AKAUNTI YA ESCROW

Picha
PRO. MUHONGO MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI JAJI WEREMA MH.WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA PROF. ANNA TIBAIJUKA

Zitto: MAISHA YETU HATARINI!

Picha
Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC),Zitto Kabwe  Licha ya kumpongeza Mbatia na wenzake walioamua kufuatilia taarifa za kusambazwa na nyaraka hizo na kutoa taarifa, alisema anayehusika kuzisambaza ameshakamatwa na polisi, atashikiliwa mpaka atakaposema taarifa anazozisambaza amezitoa wapi.     Dodoma/Dar. Siku moja kabla ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuwasilisha bungeni, ripoti ya uchunguzi wa IPTL kuhusu ufisadi katika akaunti ya Escrow, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Zitto Kabwe amesema amekuwa akipata vitisho ili kuzuia ripoti hiyo. Akizungumza jana, Zitto alisema pamoja na vitisho hivyo haogopi kwa kuwa maisha yake ameshayaweka nadhiri siku nyingi. “Kuna kundi la wahuni kutoka Musoma limeletwa Dodoma likiongozwa na mtu (jina tunalihifadhi) mwenye rekodi ya ujambazi. Hivi sasa anashikiliwa na polisi kwa kukutwa na nyaraka zilizoibwa Ofisi ya Bunge. Usalama wa wajumbe wote wa PAC upo shakani,” alisema...

SHUHUDIA AJALI YA TOYOTA HAICE ILIYOUWA WATU TISA NA KUJERUHI WENGINE TISA SHINYANGA

Picha
Toyota haice yenye namba za usajili T761 CKD iliyokuwa ikitoka wilayani Kahama kuelekea mjni Shinyanga ikiwa imepinduka katika eneo la Buhangija manispaa ya Shinyanga na kuuwa watu tisa na kujeruhi wengine tisa,baada ya kupinduka mara tatu baada ya kuvuka tuta kisha kugonga daraja na kuangukia mtaroni,chanzo chake ni mwendo kasi ambapo dereva wa gari hilo Anwar Awadhi mkazi wa Lubaga Shinyanga aliruka na kukimbia.

CHAMELEONE:DIAMOND NIMSANII MCHANGA SIWEZI KUMUOMBA COLLABO

Picha
Chameleone amesema kuwa application ya Mziiki ambayo Diamond ni balozi wake wa Tanzania ipo kwenye mazungumzo naye ili kumfanya balozi wake wa Uganda na hivyo ilimuomba afanye wimbo na Diamond kama anthem ya Afrika Mashariki. “Lakini we talked about business na hatujamalizana nao. Lakini sio eti mimi nimempigia (Diamond) kumuomba tufanye collabo na kitu kama hicho,” amesema Chameleone. “Wale wa Mziiki app ndo wanahitaji mimi na yeye tufanye kazi ya anthem ya Mziiki app. Wanajaribu kuunganisha yeye na mimi tufanye collaboration lakini sio eti mimi nimemu whatsapp na nimemuomba collaboration , that’s not right,” amesisitiza hitmaker huyo wa Valu Valu. “Am not at a level of asking for a collaboration from any artist in that manner. Sio kwamba sina heshima yake (Diamond) au kitu kama hicho lakini that’s not the truth, haiwezi kuwa hivyo. I have been doing music for the past 14 years, right? So I am not an upcoming artist.”

MAMA SALMA KIKWETE AFUNGUKA JINSI ALIVYOKUTANA NA RAIS KIKWETE

Picha
Mama Salma kikwete MAMA SALMA  ;  Swali: Ni ipi historia fupi ya maisha yako? Jibu:  Mimi naitwa Salma Rashid. Nilizaliwa katika wilaya ya Lindi Mjini, Novemba 30, 1963. Baba yangu anaitwa Rashid Yussuf Mkwachu na mama yangu ni Mwanapaza binti Shariff. Kwa asili, baba yangu anatoka Sarai, Rufiji mkoani Pwani na mama yangu anatoka Lindi.

HII NDIO NYUMBA YA MSANII LADY JAYDEE KWA NDANI INAVYOONEKANA

Picha

MOMBASA HALI NI TETE,MSAKO WA POLISI MISIKITINI VIJANA WANNE WAFARIKI

Picha
  KIJANA alipigwa risasi na kuuawa na wenzake zaidi ya 250 kukamatwa kwenye operesheni kali ya kusaka magaidi mjini Mombasa jana.   BAADHI ya vijana waliokamatwa ndani ya misikiti ya Musa na Sakina, eneo la Majengo, Mombasa, wakati wa msako wa polisi usiku wa kuamkia jana ambapo kijana aliuawa na washukiwa zaidi ya 251 kukamatwa.Silaha mbalimbali zikiwemo gruneti, bastola, visu na mapanga zilipatikana ndani ya misikiti hiyo. Picha/LABAN WALLOGA Akihutubia wanahabari katika kituo cha polisi cha Urban, mjini Mombasa, afisa mkuu wa polisi (OCPD) Mahmoud Salim, alisema kijana aliyeuawa alijaribu kushamulia maafisa wa usalama kwa gruneti walipokuwa wakiingia msikitini.   “Walimpiga risasi kabla ya hajatupa gruneti hiyo na kumwua papo hapo,” akasema Bw Salim na kuapa kuwa operesheni hiyo itaendelea hadi wahalifu wote wanaswe.

MWANAMKE ALIYEJINGUNDULIA DAWA YA MICHEPUKO

Picha
Msichana aliyetajwa kwa jina la Abbie Bartlett, wa Ibiza Hispania, amewashangaza wengi baada ya kumvalisha mpenzi wake Leon Connolly fulana maalum yenye ujumbe unaowaponda wasichana wengine na kumsifia yeye kwa lengo la kujihami na wezi wa penzi lao. Abbie alifanya hivyo baada ya kuona kuwa mpenzi wake anataka kusafiri na kwamba wangekuwa mbali kwa muda mrefu hivyo alitaka maandishi pekee yawe ujumbe wa kutosha. Nampenda mpenzi wangu Abbie, nawachukia wasichana wa Ibiza, kwa hiyo tafadhali kaa mbali na mimi. Yanaeleza maandishi yaliyo kwenye fulana hiyo ikiwa na picha zao

Miss Tanzania Mpya 2014 Lilian Kamazima Yadaiwa Ni Mnyarwanda, Apondwa Kuwa Ni Mbaya.

Picha
Lilian Kamazima Mwenzako akinyolewa wewe tia maji !......Zengwe jipya limeibuliwa jana na kuenezwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Lilian Kamazima aliyepewa taji hilo baada ya Sitti Mtemvu ambaye ni mshindi wa awali kujivua taji kutokana tuhuma za kudanganya umri, si raia wa Tanzania bali ni Mnyarwanda. Hashim Lundenga ambaye ni Mkurugenzu wa Miss Tanzania, amekanusha vilivyo na kusisitiza kuwa ni uzushi kwa sababu wao wanaangalia vyeti vya kuzaliwa ambavyo vinaonyesha uraia wa mshiriki. Hayo yameibuka siku mbili tangu Lilian kukabidhiwa taji la Miss Tanzania 2014, lililokuwa likishikiliwa na Sitti Mtemvu aliyeamua kulivua baada ya kukumbwa na kashfa mbalimbali tangu kutawazwa kwake Oktoba 11. Ukiachilia mbali hilo la uraia tangu apewe taji hilo juzi kwenye mitandao ya kijamii mashabiki wa urembo wamekuwa wakimponda Lilian kuwa ni mbaya sio mzuri wa kuwa Miss Tanzania. Lilian ambaye awali alikamata nafasi ya pili kwa mujib...

GADNER AMKANA LADY JAY DEE MCHANA KWEUPE...!! HII SI SALAMA.

Picha
7:58 PM     No comments Hii imetokea jana katika tamasha maalum la kituo kipya cha kazi cha Gardner E.FM ambapo Gardner alipanda jukwaani kujitambulisha mashabiki waliokuwepo wakamuuliza shemeji  Jaydee yuko wapi? Akawajibu i am single boy now kisha akaomba awekewe nyimbo ya Single boy ya Ali Kiba na kuicheza jukwaani huku akimpandisha jukwaani shabiki wa kike na kumwambia amvue tishet yake kimahaba kuthibitisha usingo boy wake ambapo demu huyo alimvua kwa staili hiyo gardner huku ukumbi ukilipuka kwa shangwe.

HATIMAYE VENGU APONA...APEWA NYUMBA YA MIL 120 ARUDI KWENYE LUNINGA

Picha
  Stori: Mwandishi Wetu MUNGU mkubwa! Vengu is back from hell (Vengu amerudi toka kuzimu). Msanii staa wa Kundi la Orijino Komedi ‘OK’, Joseph Shamba ’Vengu’ ameanza kurejea katika ‘fomu’ baada ya kuugua kwa muda mrefu, Risasi Jumatano linathibitisha.   Msanii staa wa Kundi la Orijino Komedi ‘OK’, Joseph Shamba ’Vengu’. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa msanii huyo (jina tunalo), Vengu ambaye kwa muda mrefu alipoteza kumbukumbu kiasi cha kushindwa kuwatambua watu, sasa amejaliwa kwani anaweza kuwafahamu watu mbalimbali wanaopata nafasi ya kwenda kumjulia hali, Kigamboni jijini Dar anakoishi. AMEANZA KUTOA ‘HI’ KWA WATU “Bado yupo chini ya uangalizi maalum wa kifamilia, ni watu wachache wanaruhusiwa kumuona, lakini sasa hivi huwezi kuamini, watu wanaofika kumtazama anawatambua na anawapa ‘hi’. TATIZO USIRI Kutokana na usiri wa hali ya msanii huyo unaofanywa na familia yake, kumekuwa na maneno chini kwa chini ikiwa ni pamoja na uzushi...

MISS TANZANIA "SITTI MTEMVU" ATOWEKA....

Picha
  suala la kudaiwa kudanganya umri likiwa bado ‘bichii’, taarifa zinadai kuwa mshindi wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ametoweka na hajulikani alipo, Risasi Mchanganyiko limechimbua stori kamili.   Mshindi wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu. Shughuli ya kumsaka mrembo huyo ili kujua undani wa sakata lake ilianzia Temeke ambako ilielezwa kuwa ndiko anakoishi. Mapaparazi wetu walipofika katika nyumba waliyoelekezwa, walikuta imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Vikoba ambapo mmoja wa wahudumu wa ofisi hiyo kwa sharti la kutoanika jina lake gazetini, aliwataka waandishi wetu kwenda Mbezi-Makonde akidai ndiko anakoishi kwa sasa. “Hapa ilikuwa nyumba ya zamani lakini kwa sasa ni ofisi na Sitti hakai hapa, kama mnamtaka nendeni Mbezi-Makonde huko nasikia ndiko anakoishi,” alisema mtumishi huyo. Mapaparazi wetu hawakuchoka, walifunga safari hadi Mbezi-Makonde ambap...