HATIMAYE Regnald Mengi Amchumbia Jacqueline Ntuyabaliwe (K Lynn) Huko Dubai.



K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe)
Tajiri anayeshika nafasi ya pili hapa Tanzania Mh Reginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe (Klyn)
Tukio hilo lilitokea katika siku ya birthday ya Jack ambayo ilifanyika huko Dubai hapo ndi Mh Mengi alipoamua kumvisha pete mchumba wake huyo ambaye mpaka sasa wana watoto wa wawili ambao ni mapacha,Naye Jack alipoulizwa na Mheshimiwa huyo Will you “Marry Me” naye akajibu “I Do”
K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe)

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA