NEWS » HATIMAYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AJIUZURU
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi lake
– Ni kufuatia kashfa ya Tegeta Escrow
Maoni
Chapisha Maoni