OBAMA MWISHO WA MATATIZO...MCHEKI ALIPOINGIA MTAANI KUNUNUA SANDWICH,




Rais wa Marekani, Barack Obama akikatiza katika maungio ya barabara ya 17 na Pennsylvania Avenue jijini Washington, D.C., baada ya kutoka kwenye mgahawa wa mtaa wa jirani kununua 'sandwich' . (picha: Pete Souza/ Ikulu "White House"). Wawakilishi wa Wananchi huko Bungeni 'wamemwekea usiku' na 'kumzingua' Rais Obama kwenye mipango yake inayotegemea bajeti ambayo waligoma kuipitisha, naye akatilia ngumu kubadili au kuondoa miradi yake.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Ndege ya C-130: Mabaki yake yapatikana yakiolea katika maji Chile

BRAZIL NAYO ETI YATINGA NUSU FAINALI KWA MBINDE KUCHUANA NA UJERUMANI NUSU FAINALI JULY 08, 2014