WAZIRI WA ZAMANI WA UTALII ATOA KAULI HII MARA BAADA YA WIZARA YAKE KUPEWA PRO MAGHEMBE,ONA HAPA LIVEE
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika Serikali ya awamu ya nne,Mhe Lazaro Nyalandu amefunguka na kumtikia kila la kheri mrithi wake katika nafasi hiyo Pro Jumanne Maghembe ambaye ameteuliwa jana na Rais Dr Magufuli kushika wadhifa huo.
Katika pongezi zake ambazo
amezitoa kupitia ukurasa wake rasmi wa twitter,Mhe Nyalandu ambaye ni
mbunge ,amesema kuwa anamtakia Pro Maghembe utumishi mwema katika Wizara
hiyo.
Maoni
Chapisha Maoni