BREAKING NEWS RAIS MAGUFULI ATAJA MAWAZIRI KATIKA NAFASI ALIZOACHA WAZI
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri
na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la
kwanza katika awamu ya tano ya utawala wake, na hawa ndio waliopata
nafasi hiyo.
#BREAKING Rais Magufuli amemteua Profesa Jumanne Maghembe kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
#BREAKING Rais Magufuli amemteua Mhandisi Gerson Lwenge kuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji
#BREAKING Rais Magufuli amemteua Dkt. Joyce Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi
#BREAKING Rais Magufuli amemteua Hamad Masauni kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
#BREAKING Rais Magufuli amemteua Prof. Makame Mbarawa kuwa Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano
Maoni
Chapisha Maoni