BREAKING NEWS : SAKATA LA UFISADI LILILOIBULIWA NA UINGEREZA STANBINK BENKI TANZANIA YATAKIWA KUILIPA SERIKALI ZAIDI YA BILIONI 13 KWA KUFANYA UDANGANYIFU
Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue (kushoto) akiongea na Waandishi wa Habari leo 01 Disemba, 2015 katika Ofisi ya Mawasiliano Ikulu kuhusu Tanzania kurejeshewa dola za Marekani milioni 7 katika kesi iliyofunguliwa katika Mahakama Jijini Uingereza dhidi ya Benki ya Stanbink Tanzania. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bwana Assah Mwambene.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia taarifa toka kwa Katibu Mkuu Kiongozi kuhusu Tanzania kurejeshewa dola za Marekani milioni 7 katika kesi iliyofunguliwa katika Mahakama Jijini Uingereza dhidi ya Benki ya Stanbink Tanzania.
Maoni
Chapisha Maoni