WACHINA NOMA SANA: A COPY NA KUUNDA RANGE ROVER KISHA KULIUZA KWA POUND 14,000 WAKATI ORIGINAL LA UNGELEZA LINAUZWA POUND 40,000 , TAZAMA SAKATA HILO HAPA PIA ORIGINAL NA COPY YAKE!
Hili Range Rover Evoque ambalo linauzwa Pound 40,000
Ukisikia
Wachina balaa sasa hii ni moja wapo, Kiwanda Kimojawapo cha China
kijulikanacho kwa jina la LandWind kimeibuka na Kutengeneza Range Rover
Off-Roader X7 na kuliuza kwa bei Chee kabisa Pound 14,000 ambalo
Linafanana kila kitu na Range Rover Jipya kutoka Uingeleza Linalokwenda
kwa Jina la Range Rover Off-Roader ambalo wao waingeleza wanaliuza kwa
Pound 40,000 ambapo tofauti yake ni Kubwa sana.
Swala hilo ambalo ni kinyume cha sheria litapelekea Kiwanda hicho kufunguliwa mashitaka kwa kosa hilo la kuiba ujuzi.
Kwa
Mara ya kwanza wakati limeingia Dukani wapenzi wengi wa Magari walijua
kabisa kuwa lile lilikuwa ni Range Rover evoque kutoka uingeleza ambalo
ndilo 'Latest Model' kwa kuwa lilifanana kila kitu , lakini ukweli ni
Kwamba Lilikuwa sio bali ni Copy yake tuu ambayo wachina walichakachua
Sasa
Hili ni Lile la kichina ambalo limezinduliwa wiki iliyopita na Kampuni
ya Landwind huko Guangzhou Ni Range Rover X7 na Bei yake ni poa kabisa
Pound 14,000 tuu
Je Mdau unaona kuna tofauti yoyote kati ya Magari hayo?
Maoni
Chapisha Maoni