BREAKING NEWSSSSS .... MWANASIASA MKONGWE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU AVULIWA UKAMANDA WA UVCCM TAIFA ... ATOA MAZITO

Kikao cha baraza kuu uvccm kinachoendelea hivi sasa katika ukumbi wa mwalimu J. Nyerere dar es saalamu chini ya mwenyekiti wake Sadifa J. khamis.
kimemuenguwa na kumfukuza KAMANDA wao wa taifa nd KINGUNGE NGOMBALU MWILU.
Maamuzi hayo yamekuja baada ya baraza kuu kujadili na kutathimini mwenendo wa kamanda huyo hasa kipindi hichi cha mapambano.

kikao hicho cha baraza kimefikia maamuzi hayo baada ya kuamini kuwa kamanda huyo kwa sasa hataweza kuivusha jumuiya hiyo katika kupata ushindi wa kishindo oct 2015

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA