BREAKING NEWS:: MAWAZIRI WAIKIMBIA CCM NA KUJIUNGA CHADEMA MDA HUU HUKO ARUSHA

Waliojiunga na CHADEMA ARUSHA :
1.Lawrence Masha anakabidhiwa kadi na Mbowe (waziri w zamani wa mambo ya ndani)
2.Daniel Porokwa - katibu wa ccm Manyara
3.Robinson Mwenyekiti wa uv ccm Arusha
4.Sioi Sumari (huyu alikuwa mshindani wa Joshua Nassari Arumeru Mashariki nadhani mnamkumbuka)
5.Yona Nko aliyekuwa mkiti ccm mkoa Arusha
6.Mgombea ubunge Simanjiro
7.Goodluck Sipira katibu wa ccm Arusha anatokea
Longido
8.Wazee wa kimila wa kimasai nchi nzima
9.Wazee wa kimila wa kimeru wote wakiongozwa
na Mshili Mkuu.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA