Breaking news.. Waziri mkuu mstaafu Fredrick sumaye kuongea na media leo SAA 5 asubuhi



Ukumbi wa habari na maelezo
Atatoa la moyoni kuhusu mchakato wa kumpata Mgombea urais ndani ya CCM.
Ataweka wazi mustakabali wake kisiasa kwa sasa.
Jamani mwenye taarifa sahihi mzee kesho anatema nyongo nini?

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA