HAKIKA HIVI NDO VITUKO VILIVYO TOKEA MBEYA LEO HII KWENYE MAPOKEZI YA LOWASA...HADI KONDOO KAVAA UKAWA
Ratiba iliyotolewa na CHADEMA kuhusu safari ya Mgombea Urais wa Chama hicho, Edward Ngoyai Lowassa kutafuta
wadhamini Mikoani ilionesha August 14 2015 ataanzia Mbeya, August 15 ni
Arusha, August 16 ni Mwanza na atamalizia Zanzibar August 17 2015.
Tayari Mgombea huyo wa Urais katua Mbeya
na hapa ninazo pichaz ambazo nimesogezewa na watu wangu walioko Mbeya
kuonesha hali ilivyokuwa.
Maoni
Chapisha Maoni