HII NDO BARUA ILIYO TOKA HALMASHAURI ..IKIWAZUIA UKAWA KUFANYA MKUTANO KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI

 
Hapa mjini Dar imethibitishwa kwamba kuna mwananchi aliyeukodi uwanja wa Jangwani kwa ajili ya matumizi ya kumfundishia Baiskeli Mkewe ila aliwahi Wiki Tatu kabla ya UKAWA, habari hizi zinasema mwananchi huyo aliyekataa kuatajwa jina lake ameonekana akitabasamu sana leo alipohojiwa kwamba kwa nini asiwaachie UKAWA kutumia Uwanja huo Jumamosi, alisema imekuwa ndoto yake ya muda mrefu sana kumfundisha Baiskeli Mkewe wa ndoa ya Miaka 2 na amesema amesoma kwenye utabiri wa hali ya hewa kwamba Jumamosi kutakuwa Jua kidogo na upepo unaoweza kusaidia sana kwenye mafundisho yake ya Baiskeli kwa mkewe.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA