Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2015

HII NDO BARUA ILIYO TOKA HALMASHAURI ..IKIWAZUIA UKAWA KUFANYA MKUTANO KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI

Picha
  Hapa mjini Dar imethibitishwa kwamba kuna mwananchi aliyeukodi uwanja wa Jangwani kwa ajili ya matumizi ya kumfundishia Baiskeli Mkewe ila aliwahi Wiki Tatu kabla ya UKAWA, habari hizi zinasema mwananchi huyo aliyekataa kuatajwa jina lake ameonekana akitabasamu sana leo alipohojiwa kwamba kwa nini asiwaachie UKAWA kutumia Uwanja huo Jumamosi, alisema imekuwa ndoto yake ya muda mrefu sana kumfundisha Baiskeli Mkewe wa ndoa ya Miaka 2 na amesema amesoma kwenye utabiri wa hali ya hewa kwamba Jumamosi kutakuwa Jua kidogo na upepo unaoweza kusaidia sana kwenye mafundisho yake ya Baiskeli kwa mkewe.

SIRI YAFICHUKA: DAKTARI WA CHELSEA ALILALA NA MCHEZAJI.

Picha
Baada ya wiki ngumu Stamford Bridge, Chelsea wakianza vibaya huku pia Jose Mourinho akimuondoa katika benchi, daktari Eva Carneiro kwa madai ya kupoteza muda kwa kumtibia Eden Hazard, sasa Ex-boyfriend wa daktari huyo amefunguka na kusema yaliyojiri. Mpenzi huyo wa zamani wa Eva, aitwaye Rupert Patterson-ward amesema aliachana na Eva kwa sababu alimwambia alikua akitembea na mchezaji mmoja klabuni hapo. Rupert aliyekutana na Eva 2011 kabla hawaja achana 2013 anasema kwamba Eva ni mtu wa mapenzi sana na kwamba anapenda zaidi ngono. Rupert anadai walitaka kufanya familia na kuoana lakini Eva alimfukuza na kumwambia kuwa alilala na mchezaji mmoja kikosini hapo. Hata hivyo habari hizi hazina mahusiano ya moja kwa moja na kitendo cha Mourinho kumfukuza katika benchi mwanadada huyo. Gazeti la Manchester Evening wiki hii liliripoti kuwa huenda Ivanovic akawekwa benchi kutokana na kuchukizwa na maamuzi ya Mourinho kumfukuza...

WEMA SEPETU ,STEVE NYERERE KUWAONGOZA WASANII KUPIGANIA USHINDI WA CCM

Picha
Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kutoka kulia ni Wellu Sengo (Matilda). Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kulia ni Yobnesh Yusuph (Batuli) na kushoto ni Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere wakiwa katika mkutano huo. Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mratibu wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere akizungumza na waandishi wa habari leo juu ya tamasha hilo. Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu (kulia) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kutoka kulia ni Wellu Sengo (Matilda) na Yobnesh Yus...

SAKATA LA MTOTO WA DIAMOND PLATINUMS NA ZARI .MAMILIONI YATENGWA...MUME WA ZARI ACHACHAMAA!

Picha
Sakata la yule jamaa aitwaye King Lawrence, raia wa Uganda mwenye maskani yake nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ anayedai kuwa mtoto wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aliyempata kupitia kwa mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Latifah Nasibu ‘Princes Tiffah’ siyo wa mwanamuziki huyo, limechukua sura mpya.   Jamaa huyo amefunguka upya kwamba, ametenga mamilioni ya fedha kumpora Diamond bintiye Tiffah.   KING LAWRENCE AMGEUKA IVAN   Kabla ya kutenga mamilioni hayo, King Lawrence ambaye ni rafiki wa aliyekuwa mume wa Zari, Ivan Ssemwanga aliposti kwenye akaunti yake ya Instagram kile kinachoonekana ni barua ya kutaka kufanyika vipimo vya DNA ili kubaini Tiffah ni damu ya nani huku barua hiyo ikimtaja King Lawrence kuwa ndiye mhusika.   Pia kabla ya barua hiyo iliyoandikwa na kusainiwa na kampuni ya wanasheria ya Uganda ya Web Advocates & Solicitors, King La...

WACHINA NOMA SANA: A COPY NA KUUNDA RANGE ROVER KISHA KULIUZA KWA POUND 14,000 WAKATI ORIGINAL LA UNGELEZA LINAUZWA POUND 40,000 , TAZAMA SAKATA HILO HAPA PIA ORIGINAL NA COPY YAKE!

Picha
 Hili Range Rover Evoque ambalo linauzwa Pound 40,000 Ukisikia Wachina balaa sasa hii ni moja wapo, Kiwanda Kimojawapo cha China kijulikanacho kwa jina la LandWind kimeibuka na Kutengeneza Range Rover Off-Roader  X7 na kuliuza kwa bei Chee kabisa Pound 14,000 ambalo Linafanana kila kitu na Range Rover Jipya kutoka Uingeleza Linalokwenda kwa Jina la Range Rover Off-Roader ambalo wao waingeleza wanaliuza kwa Pound 40,000 ambapo tofauti yake ni Kubwa sana.  Swala hilo ambalo ni kinyume cha sheria litapelekea Kiwanda hicho kufunguliwa mashitaka kwa kosa hilo la kuiba ujuzi. Kwa Mara ya kwanza wakati limeingia Dukani wapenzi wengi wa Magari walijua kabisa kuwa lile lilikuwa ni Range Rover evoque kutoka uingeleza ambalo ndilo 'Latest Model' kwa kuwa lilifanana kila kitu , lakini ukweli ni Kwamba Lilikuwa sio bali ni Copy yake tuu ambayo wachina walichakachua  Sasa Hili ni Lile la kichina ambalo limezinduliwa wiki iliyopi...

HIKI NDICHO ALICHOKIJIBU ZARI THE BOSS WA DIAMOND PLATNUMZ KUHUSU MPANGO WA IVAN NA KING LAWRENCE

Picha
Hatimaye Zari The Bosslady ameamua kumjibu ex wake Ivan na swahiba wake King Lawrenc ambao wamekuwa wakimtupia madongo kuwa mtoto wake Tiffah si wa Diamond, ni wao. King Lawrence alienda mbali zaidi kwa kutumia kampuni ya wanasheria kumtaka achukue vipimo vya DNA vya kichanga hicho chenye zaidi ya followers 80k kwenye Instagram. Zari ametumia Instagram kuwajibu kwa kudai kuwa wanachofanya wawili hao ni visasi ambavyo anaamini hufanywa na vilaza! “Visasi hufanywa na vilaza,” ameandika Zari kwenye Instagram. “BO$LADY anafahamu kuwa huzuni aliyonayo mtu mwenye chuki wakati akiangalia furaha na mafanikio yake ni adhabu tosha. Inabidi niyageuzie mgongo mambo yate ya kijinga yanayoendelea. Naendelea kuwaua kwasababu watu hutaka kuzima taa inayowaka zaidi kwao,” ameongeza. Diamond tayari ametoa majibu yake kufuatia hatua hiyo ya Ivan na Lawrenc

FID Q ALIZWA NA WEMA SEPETU? DUH HII SI YA KUACHA KUIONA

Picha
This is the message wema sepetu shared to her fans for precaution's!!

BREAKING NEWSSSSS .... MWANASIASA MKONGWE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU AVULIWA UKAMANDA WA UVCCM TAIFA ... ATOA MAZITO

Picha
Kikao cha baraza kuu uvccm kinachoendelea hivi sasa katika ukumbi wa mwalimu J. Nyerere dar es saalamu chini ya mwenyekiti wake Sadifa J. khamis. kimemuenguwa na kumfukuza KAMANDA wao wa taifa nd KINGUNGE NGOMBALU MWILU. Maamuzi hayo yamekuja baada ya baraza kuu kujadili na kutathimini mwenendo wa kamanda huyo hasa kipindi hichi cha mapambano. kikao hicho cha baraza kimefikia maamuzi hayo baada ya kuamini kuwa kamanda huyo kwa sasa hataweza kuivusha jumuiya hiyo katika kupata ushindi wa kishindo oct 2015

Msafara wa Lowassa wapigwa mabomu

Picha
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa akizungumza na polisi kwenye Daraja la Nduruma mjini Arusha, baada ya kufunga Barabara ya Sabasaba wakati akitokea kwenye Uwanja wa Tindigani. Polisi walimkubalia kupita barabara hiyo na kuzuia msafara wake. Picha na Mussa Juma  Kwa ufupi Tukio hilo, ambalo lilifanyika mbele ya msafara wa Lowassa, lilitokea jana eneo la Daraja la Nduruma katika Jiji la Arusha na kusababisha umati wa watu kutawanyika na wengine kutelekeza magari yao. By Mussa Juma na Osca Lyatuu Arusha . Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na Ukawa, Edward Lowassa jana kwa mara ya kwanza alikumbana na joto la upinzani baada ya msafara wake kushambuliwa na mabomu ya polisi. Tukio hilo, ambalo lilifanyika mbele ya msafara wa Lowassa, lilitokea jana eneo la Daraja la Nduruma katika Jiji la Arusha na kusababisha umati wa watu kutawanyika na wengine kutelekeza magari yao. Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akimkaribisha kwenye ch...

Breaking news.. Waziri mkuu mstaafu Fredrick sumaye kuongea na media leo SAA 5 asubuhi

Picha
Ukumbi wa habari na maelezo Atatoa la moyoni kuhusu mchakato wa kumpata Mgombea urais ndani ya CCM. Ataweka wazi mustakabali wake kisiasa kwa sasa. Jamani mwenye taarifa sahihi mzee kesho anatema nyongo nini?

BREAKING NEWS:: MAWAZIRI WAIKIMBIA CCM NA KUJIUNGA CHADEMA MDA HUU HUKO ARUSHA

Picha
Waliojiunga na CHADEMA ARUSHA : 1.Lawrence Masha anakabidhiwa kadi na Mbowe (waziri w zamani wa mambo ya ndani) 2.Daniel Porokwa - katibu wa ccm Manyara 3.Robinson Mwenyekiti wa uv ccm Arusha 4.Sioi Sumari (huyu alikuwa mshindani wa Joshua Nassari Arumeru Mashariki nadhani mnamkumbuka) 5.Yona Nko aliyekuwa mkiti ccm mkoa Arusha 6.Mgombea ubunge Simanjiro 7.Goodluck Sipira katibu wa ccm Arusha anatokea Longido 8.Wazee wa kimila wa kimasai nchi nzima 9.Wazee wa kimila wa kimeru wote wakiongozwa na Mshili Mkuu.

HAKIKA HIVI NDO VITUKO VILIVYO TOKEA MBEYA LEO HII KWENYE MAPOKEZI YA LOWASA...HADI KONDOO KAVAA UKAWA

Picha
Ratiba iliyotolewa na CHADEMA kuhusu safari ya Mgombea Urais wa Chama hicho, Edward Ngoyai Lowassa kutafuta wadhamini Mikoani ilionesha August 14 2015 ataanzia Mbeya, August 15 ni Arusha, August 16 ni Mwanza na atamalizia Zanzibar August 17 2015. Tayari Mgombea huyo wa Urais katua Mbeya na hapa ninazo pichaz ambazo nimesogezewa na watu wangu walioko Mbeya kuonesha hali ilivyokuwa. Hawa ni Vijana wa Red Brigade , wanaohusika na Ulinzi na Usalama CHADEMA . Hii ilikuwa wakati msafara wa Mgombea huyo Urais unasubiriwa. Hapa ni eneo la Uwanja ambapo Mgombea huyo Urais akiwa na baaadhi wa Viongozi wa UKAWA ameongea na Wananchi wa Mbeya. Hii ni sehemu ya watu waliojitokeza kwenye Mkutanio wa CHADEMA Mbeya.