Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2015

‘Mwakyembe Akianza Mchakato wa Katiba Tu, Nitafunguka’ Warioba

Picha
Urafiki wa Jaji Joseph wariona na chama chake cha CCM uliofufuka wakati wa Uchaguzi Mkuu, unaweza kuingia tena doa baada ya waziri huyo mkuu wa zamani kusema iwapo Serikali itaanza harakati za kumalizia mchakato wa Katiba, atatoa yake ya moyoni. Jaji Warioba, aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, alishambuliwa na makada wa chama hicho kutokana na kuwasilisha Rasimu ya Katiba iliyotofautiana na utashi wa CCM, hasa kwenye suala la muundo wa Muungano kuwa wa serikali tatu. Lakini tofauti hizo zilipotea wakati wa Uchaguzi Mkuu alipoamua kusimama kidete kumtetea mgombea urais wa CCM bila ya kujali kilichomsibu kwenye Bunge la Katiba. Baada ya Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe kueleza kuwa Rais John Magufuli amemuagiza aendelee na mchakato wa Katiba kuanzia pale alipoishia, Jaji Warioba amehifadhi maoni yake, lakini anasema ana yake ya moyoni. “Kwa sasa siwezi kusema chochote kuhusu kauli ya Serikali kuendelea na mchakato wa Kat...

MUUAJI WA OFISA WA INTELIJENSIA WA TANAPA AKAMATWA, AKIRI AFUNGUKA MAZITO.

Picha

Rais Kagame Awapa Mbinu Viongozi wa Burundi Kutafuta Suluhu

Picha
Rais wa Rwanda Paul Kagame amewashauri raia wa Burundi kumaliza mgogoro unaoendelea nchini humo kwani hakuna mtu wa nje anayeweza kufanya hivyo. Rais Kagame alisema kuwa, viongozi na nchi hiyo na raia hao wana wajibu wa kushughulika na mambo yao ya ndani kuliko kutegemea msaada wa watu wengine. “Siyo kweli kwamba Rwanda inafurahia mgogoro wa kisiasa unaoendelea Burundi kwani athari zake zinatugusa hata huku. Wakimbizi wanazidi kuongezeka hivyo ni vyema wakatafuta ufumbuzi haraka iwezekanavyo kuyanusuru maisha ya watu,” alisema. Kiongozi huyo alikanusha uvumi kwamba nchi yake imekuwa ikisaidia baadhi ya makundi ya wapiganaji yanayopingana na Serikali ya Burundi. “Hayo ni madai ya yasiyo ya kweli na kama kuna mwenye ushahidi kuhusu hilo athibitishe. Huu siyo wakati wa lawama kwani jambo la muhimu ni suluhu itakayomaliza mgogoro huo,” alisema. Amuunga mkono Museveni Katika hatua nyingine, Kagame alionyesha kumuunga mkono Rais wa Uganda Yoweri Museveni an...

Waasi waunda vuguvugu dhidi ya Nkurunziza

Image copyright Reuters Image caption Waasi waunda vuguvugu dhidi ya Nkurunziza Waasi wanaompinga Rais Pierre Nkurunziza wameungana kuunda vuguvugu moja linalofahamika kama The Republican Force of Burundi, na limetangaza vita dhidi ya kiongozi huyo. Kubuniwa kwa vuguvugu hilo kunatukia huku shinikizo kutoka kwa mataifa ya kanda hiyo, zikiongezeka. Umoja wa Afrika unaitaka serikali ya Nkurunziza ikubalie walinda amani wa Umoja wa Afrika. Hata hivyo serikali yake imekatalia mbali ombi hilo ikidai kuwa, haiko katika hali ya mapigano yawenyewe kwa wenyewe wala hakuna hatari ya kuibuka kwa mauaji ya kimbari kwa hivyo inaichukulia jeshi hilo la kulinda amani kama jeshi la k...

WAZIRI WA ZAMANI WA UTALII ATOA KAULI HII MARA BAADA YA WIZARA YAKE KUPEWA PRO MAGHEMBE,ONA HAPA LIVEE

Picha
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika Serikali ya awamu ya nne,Mhe Lazaro Nyalandu amefunguka na kumtikia kila la kheri mrithi wake katika nafasi hiyo Pro Jumanne Maghembe ambaye ameteuliwa jana na Rais Dr Magufuli kushika wadhifa huo. Katika pongezi zake ambazo amezitoa kupitia ukurasa wake rasmi wa twitter,Mhe Nyalandu ambaye ni mbunge ,amesema kuwa anamtakia Pro Maghembe utumishi mwema katika Wizara hiyo.

SERIKALI KUVUNJA NYUMBA HII YA SUMAYE,SOMA HAPA LIVEE

Picha
<a href='http://adserver.adtech.de/adlink|3.0|1668.1|5738823|0|225|ADTECH;loc=300;alias=' target='_blank'><img border='0' height='90' src='http://adserver.adtech.de/adserv|3.0|1668.1|5738823|0|225|ADTECH;loc=300;alias=' width='728'/></a> <a href="http://adserver.adtech.de/adlink/3.0/1332/5066714/0/225/ADTECH;loc=300" target="_blank"><img src="http://adserver.adtech.de/adserv/3.0/1332/5066714/0/225/ADTECH;loc=300" border="0" width="728" height="90" /></a> Home » » Unlabelled » SERIKALI KUVUNJA NYUMBA HII YA SUMAYE,SOMA HAPA LIVEE    WAZIRI Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye, ameingia matatani baada ya kudaiwa kuvamia eneo la wazi na kuanza kuzungushia uzio, bila kufuata sheria na utaratibu wa ujenzi. Eneo hilo la kiwanja namba 719/1/3 lililopo Mkiocheni, mtaa wa TPDC, lilikuwa likitumika kwa ajili ya michezo, miku...

BREAKING NEWS RAIS MAGUFULI ATAJA MAWAZIRI KATIKA NAFASI ALIZOACHA WAZI

Picha
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano ya utawala wake, na hawa ndio waliopata nafasi hiyo. #BREAKING   Rais Magufuli amemteua Profesa Jumanne Maghembe kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii   #BREAKING   Rais Magufuli amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Waziri wa Fedha na Mipango (Ni baada ya kumteua kuwa Mbunge) 15 #BREAKING   Rais Magufuli amemteua Mhandisi Gerson Lwenge kuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji   #BREAKING   Rais Magufuli amemteua Dkt. Joyce Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi #BREAKING   Rais Magufuli amemteua Hamad Masauni kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi #BREAKING   Rais Magufuli amemteua Prof. Makame Mbarawa kuwa Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano

Mrithi Wa Dk. Willbrod Slaa Chadema Huyu hapa!

Picha

BREAKING NEWS : SHEREHE ZA KUMWOMBEA LOWASSA UVUMILIVU NA HEKIMA NUSURA ZIVUNJIKE

Picha

BREAKING NEWS! RAISI JOHN POMBE MAGUFULI ATUMBUA JIPU JINGINE!

Picha
 BREAKING NEWS : PRESIDENT OF UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DKA MAGUFULI 

Hii ndio list mpya ya wanasoka kumi wa Afrika matajiri 2015

Picha
Headlines za mishahara yao mikubwa wanayolipwa katika soka najua umeshaizoea kwa sasa mtu wangu, katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na list mpya ya wanasoka matajiri barani Afrika, katika list hii hakuna sura ngeni sana bado watu wameendelea kumiliki utajiri wao kama kawaida. List hii inaoongozwa na Samuel Eto’o jamaa ambaye amewahi kutwaa tuzo ya mcheza bora wa Afrika mara ndio anaongoza list hii. 10- Kiungo wa kimataifa wa Ghana ambaye amewahi kutamba katika vilabu vya Inter Milan , AC Milan , Sunderland na sasa anachezea klabu ya Al Ittihad ya Saudi Arabia   Sulley Muntari ndio anashika nafasi ya 10 akiwa na urajiri wa dola milioni 40. Sulley Muntari  9- Kolo Toure aliwahi kucheza katika klabu ya Arsenal , Man City na sasa Liverpool , yeye anatajwa kuwa na utajiri wa dola milioni 43. Kolo Toure 8- John Obi Mikel ni kungo wa kimataifa wa Nigeria anayekipiga katika klabu ya Ch...

SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LATANGAZA KUSAMBAZWA KWA BOEING 787S KWA SAFARI ZAKE TOFAUTI MWAKA 2016

Picha
  Shirika la ndege la Etihad, ndege rasmi ya taifa kwa Falme za kiarabu limetangza kuanzisha mipango ya kurusha ndege aina ya boeing 787s kwa safari za kwenda Dusseldorf, Perth, Shanghai, Istanbul na Johannesburg kwa mwa mwaka 2016. Matarajio ya kuwasili kwa ndege hizo mpya aina ya Boeing 787s ni ndani ya miezi saba ijayo, kuanzia Mei 2016, ndege hizo “Dreamliners” zenye uwezo wa kubeba abiria 299 zitaanza kutoa huduma kwenda Dusseldorf, Perth, Shanghai, Istanbul na Johannesburg kutoka Abu Dhabi zikichukua nafasi ya ndege zinazotumika sasa. Kwa sasa Shirika la ndege la Etihad lina ndege tano tu aina ya 787s ambazo zinafanya safari zake kati ya Brisbane, Washington, Singapore na Zurich moja kwa moja kutoka Abu Dhabi. Matarajio ya Shirika hilo ni kuongeza zaidi ya Boeing 66 ndani ya miaka kadhaa ijayo ambapo ndege hizo aina ya “Dreamliners”zitakuwa ndege rasmi za shirika hilo kwa masafa marefu. James Hogan, ambaye ni Rais na afisa mkuu wa shirika la ndege la E...

EXCLUSIVEEE...........HII NDO NYUMBA MPYA YA WEMA SEPETU ALIYO HAMIA ...HAKIKA HILI NI HEKALU

Picha
EXCLUSIVEEE...........HII NDO NYUMBA MPYA YA WEMA SEPETU ALIYO HAMIA ...HAKIKA HILI NI HEKALU

BREAKIN NEWZZZ!!:- MBUNGE MPYA CHADEMA ATIWA MBARONI DAR

Picha
SAED KUBENEA MBARONI KWA AMRI YA MKUU WA WIYALA YA KINONDONI PAUL MAKONDA  Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea (Chadema) amekamatwa na polisi eneo la viwanda (EPZA) Mabibo kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda. Tukio hilo limetokea kukiwa na mgomo wa wafanyakazi zaidi ya 1800 wa kiwanda cha nguo cha TOOKU ambao walimpigia Mbunge wao aende kutatua mgogoro huo. Kubenea alifika katika eneo hilo saa 6 mchana, akakutana na wafanyakazi kusikiliza kero zao za muda mrefu. Kisha aliamua kuondoka na viongozi wa wafanyakazi hao na kufanya kikao na menejimenti ya Kiwanda hicho kuanzia saa 7 hadi saa 9.  Ilipofika saa 10:30 Makonda alikuja na kupata taarifa kwa muafaka uliofikiwa kati ya Kubenea, menejimenti na viongozi wa wafanyakazi. Alitoa amri wafanyakazi wakusanyike, akaawaambia kesho atafika huko kesho na Waziri wa Viwanda na Biashara, Waziri wa Kazi na Ajira, na waziri wa Afya wanawake, jinsia na watoto. Alimzuia Mbunge asihutubie kua...

MAWAZIRI WATATU WA RAIS MAGUFULI WAZUA UTATA ,MENGI YASEMWA,

Picha
 Hatua ya Rais John Magufuli kuteua na kuwaapisha mawaziri watatu kabla ya kuapishwa kuwa wabunge, imeibua utata huku wanasheria wakihoji jinsi gani watafanya kazi za Kamati za Bunge kabla ya Februari wakati chombo hicho cha kutunga sheria kitakapoanza shughuli zake. Kwa mujibu wa ibara ya 66 (1) ya Katiba ya Jamuhuri ya Muungano, Rais ana mamlaka ya kuteua wabunge wasiozidi kumi ambao anaamini wanaweza kumsaidia katika utekelezaji wa majukumu yake. Na ibara ya 55 (4) inamuelekeza Rais kuteua mawaziri kutoka miongoni mwa wabunge. Kwa kutumia mamlaka hayo, Alhamisi iliyopita Rais Magufuli aliwateua makada watatu kuwa wabunge na hapo hapo kutangaza kuwateua kuwa mawaziri na kisha kuwaapisha juzi kutumikia wadhifa huo. Mawaziri hao ni Profesa Makame Mbarawa ambaye ameteuliwa kuwa Wazira wa Maji na Umwagiliaji, Dk Abdallah Possi (Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu), na Balozi Augustine Mahiga ambaye anakuwa Wa...

HII KATUNI YA LEO YA MH. MAGUFULI NI BALAA ..KILA MTU KAIPENDA IMETAZAMWA NA WATU WENGI SANA

Picha
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WATOA MAJINA HADHARANI YA VIGOGO WALIOIFILISI NCHI..HII ORODHA INATISHA

Picha
Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) imetaja majina ya kampuni 43 na wamiliki wa makontena 329 ambayo yalipitishwa bandarini bila kulipiwa na kufichuliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wiki iliyopita. Aidha, TRA imesema imesimamisha kazi watumishi wake 35 wanaofanya kazi katika ngazi mbalimbali, wakiwemo 27 waliokamatwa wiki hii katika Geti Namba Tano. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kaimu Kamishna Mkuu wa TRA, Dk. Philip Mpango alisema Mamlaka hiyo iliagizwa na Waziri Mkuu Majaliwa kuchukua hatua mara moja kwa kufuatilia na kubaini wamiliki wa Bandari Kavu (ICD) zilizohusika katika kashfa hiyo. Alisema mbali na hilo walitakiwa kuwatambua wamiliki wa makontena hayo, bidhaa zilizokuwemo, kuwalipisha wahusika kodi iliyokwepwa pamoja na kuwachukulia hatua watumishi waliohusika na upotevu huo. Dk. Mpango aliyataja makampuni hayo kuwa ni Lotai Steel Tanzania Ltd iliyokuwa na makontena 100, Tuff Tryes Centre Company 58, Binslum Tyres Company Ltd...

KILA WAZIRI ATASAINI MKATABA KABLA AJAANZA KAZI - MAGUFULI

Picha
Kusuasua kwa Rais John Magufuli, kutangaza Baraza la Mawaziri kunatokana na msimamo wake wa kuwachambua watu anaotarajia kuteua katika nafasi hiyo huku akiaandaa mikataba ya makubaliano itakayokuwa mwongozo kwa mawaziri hao. Nia ya Rais, hadi kufikia hatua hiyo imetafsiriwa kwamba anataka kupata mawaziri ambao wataweza kwenda sambamba na kasi yake pamoja na wawajibikaji. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinaeleza kwamba kwa sasa Rais Magufuli, anasuasua kutangaza baraza lake kutokana na kile kinachodaiwa ni kuandaa mikataba ambayo mawaziri baada ya kuteuliwa watalazimika kuisoma kwa muda wa siku mbili kabla ya kukubali uteuzi huo. Chanzo hicho, kilieleza kwamba wale watakaokubali itabidi wasaini mkataba huo ili kukukabiliana na matakwa ya mkataba huo. “Kwa sasa huyu jamaa anaandaa mikataba kwa ajili ya kuwapatia Mawaziri na Manaibu wake na wanatakiwa kuisoma ndani ya siku mbili na yeyote atakayekubaliana na mkataba huyo atalaz...