Je Matiti ya Wasichana Kulala ni Kwa Sababu ya Wingi wa Kufanya Mapenzi? Jibu Hili Hapa
Matiti kulala ni maumbile ya msichana husika. Haina uhusiano kabisa kujamiana.
Kuna waschana mabikira lakini matiti yamelala, wengine wan umri mdogo kabisa ka miaka 15,16 lakini yamelala. Na wakati huo kuna wengine haipiti siku bila kulala na mwanaume lakini ukiwaona matiti yao ni kama ndo wanavunja ungo. sasa tusemeje juu ya hawa? hawajui uume?
Inawezekana huyo binti amewahi toa mimba kadhaa na hivyo matiti yake husinyaa kwa sababu huandaliwa kunyonyeshwa.
Inawezekana pia huyo binti hajui jinsi ya kutunza matiti yake na kuyafanya yasilale.Katika makala ya wiki iliyopita nilieleza mazoezi matatu yatakayo fanya matiti yako yasilale.
Kwa hiyo kusinyaa kwa matiti hakusababishwi moja kwa moja na ufanyaji mwingi wa mapenzi.Sababu kubwa ni kuwa wengi hawajui kuyatunza
Maoni
Chapisha Maoni