HUYU NDO MKE WA WAZIRI MAHIGA ALIYE SABABISHA TRAFIK KUPANDISHWA CHEO NA RAIS MAGUFULI

Mke wa waziri anayesemwa kuzozana na Askari wa Usalama Barabarani ni mke wa Balozi Augustine Mahiga,Waziri wa Mashauliano ya Kigeni wa Tz.
Ukisikiliza hii audio,ni mazungumzo kati ya Mke wa Waziri Mahiga,Askari wa usalama barabarani na boss wa Askari huyo!Unaweza kusikiliza na kupata picha ya mazungumzo kati ya huyo Mama na Traffic
SIKILIZA SAUTI YAKE HAPA CHINI

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA