HII NDO SHERIA MPYA YA GUEST HOUSE DAR…Kabla ya kupewa chumba mnapigwa picha?
Ijumaa ya May 6 2016 kama ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii hususani
Whatsapp najua utakuwa ulipokea ujumbe ambao ulikuwa unaripotiwa kuwa
umetoka kwa meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita, ujumbe uliokuwa
umeenea ulikuwa unahusisha kuwa meya wa Dar es Salaam Isaya Mwita
ametangaza sheria mpya.
Meya Isaya Mwita ameeleza kuwa ujumbe unaoenea kuwa ametangaza sheria mpya Dar es Salaam sio wa kweli na umetungwa na watu ambao wanapanga kumchafulia jina lake.
Ujumbe wa uongo ambao ulisambazwa leo May 6 2016 na kudaiwa umetoka kwa meya wa Dar es Salaam
“Sio kweli kuwa kuna sehemu nimetoa statement ya namna hiyo ila huyo atakayekuwa ameandika atakuwa na lengo tofauti, kwa hiyo naomba wananchi wapuuze hiyo statement ambayo imekuwa ikisambaa, bahati mbaya sikuwahi kupata mtu akiuliza maoni yoyote kuhusiana na tukio hilo la Kimara ila kwa upande wangu sijatoa tamko lolot

Maoni
Chapisha Maoni