Kali ya Mwaka Mkuu wa mkoa wa Mwanza,Mulongo aliyeweka Ulinzi kama wa Rais

 Mkuu wa mkoa wa Mwanza,Magesa Mulongo,ambaye nimwakilishi wa Rais Jakaya Kikwete mkoani hapo,amebuni aina mpya ya Ulinzi wake binafsi pamoja na msafara wa magari unaoambatana naye anapokuwa katika ziara yake za kikazi

Aina hiyo ya ulinzi na msafara unaofanana kwa kiwango kikubwa na ule wanaopewa viongozi wakuu wa kitaifa,akiwemo Rais na Waziri Mkuu,ni wa kwanza kushuhudiwa na wakazi wa mkoani hapa na umedaiwa kuigharimu kiasi kikubwa cha Pesa

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA