Agness Masogange Akana Tuhuma za Kutoka na King Lawrenc, Saa yamkononi yaleta Utata
Baada ya Mrembo Agness Masogange Aishie Njia
South Afrika kupost kwenye instagram Picha ya Mkono wa Mwanaume wenye
saa nyeusi, watu na page mbali mbali walianza kumshambulia na kusema
mkono huo ni wa King Lawrenc na wengine kuandika kuwa ni project mpya,
Agness Masogane Amejitokeza na kuandika haya instagram:
"Mkono huo ni wa Boyfriend wangu na sio wa huyo mnaemsema na wala simjui hata sijawahi kumuona..muwe mnachunguza vitu kwanza sio kukurupuka tu na kuongea ongea ovyo"
"Mkono huo ni wa Boyfriend wangu na sio wa huyo mnaemsema na wala simjui hata sijawahi kumuona..muwe mnachunguza vitu kwanza sio kukurupuka tu na kuongea ongea ovyo"
Maoni
Chapisha Maoni