BARACK OBAMA WA PILI AZIDI KUJICHUKULIA UMAARUFU NCHINI KWAO



Mtu mmoja muindonesia ambaye muonekano wake anafanana sana na Rais wa marekani Barack Obama, amekuwa gumzo sana nchini kwao na kujichukulia sana umaarufu mkubwa.

Mtu huyo mwenye familia ya mke na watoto wawili amekuwa maarufu sana ambapo kila mu nchini kwao anatamani kupiga naye picha za kumbukumbu.

kweli duniani ni wawiliwawili... Mtu huyo anajitahidi mpaka kuiga swaga za Rais Barack Obama kila anapojitokeza mtaani na kukutana na watu.

Endela kufuatilia modesigntz Beste wangu wa Ukweli, na mimi ntaendelea kukusogezea kila habari inayonifikia

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA