Namanga: Edward Lowassa asimamishwa na wananchi wamweleze ugumu wa maisha
Mh Edward Lowassa Mjumbe wa kamati kuu wa chama Cha demokrasia na
maendeleo (CHADEMA ) na Chama kikuu cha Upinzani TANZANIA na Waziri Mkuu
mstaafu amesimamishwa na Wananchi wa Namanga Mpakani mwa Tanzania na
Kenya .
Wananchi wamemueleza Ugumu na ukali wa Maisha walionayo ikiwa ni pamoja
na kudorora kwa mzunguko wa fedha mpakani hapo leo hii akiwa safarini
Toka Nairobi Kenya alipokwenda kuhudhuria mazishi ya Marehemu Ole
Ntimama.
Maoni
Chapisha Maoni