MATOKEO YAMPA KIBURI GUARDIOLA, AINGIA MTAANI NA KUJIACHIA NA MKEWE



 


Sasa ulitaka afanye mini? Maana Kocha wa Man City, Pep Guardiola mambo yanamuendea vizuri naye ameamaua kujiachia kiana.
jana asubuhi  alionekana akiwa  katikati ya mitaa ya  jiji la Manchester akijiachia na mkewe Cristina Serra.
Pamoja na mkewe, Guardiola, kocha wa zamani wa Barcelona na Bayern Munich aliongoza na kocha wa viungo ambaye ni memba wa benchi lake, Lorenzo Buenaventura.

Mwendo wa kikosi cha Man City chini yake unaonyesha uko safi na tayari ameanza kupewa nafasi ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu England

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA