Ommy Dimpoz akijibu kuhusiana na picha zilizo enea akiwa na Ex wa Diamond Platnumz 'Wema Sepetu' kitandani
Miongoni mwa stori zilizochukua headline mitandaoni hata kwenye magazeti ni kuhusu picha ya hitmaker wa ‘Ndangushima’ Ommy Dimpoz akiwa na ex wa Diamond Platnumz ,Wema Sepetu kitandani wamelala pamoja na picha zingine zilizozua mjadala mkubwa. Ommy Dimpoz amefanya mahojiano na mtangazaji wa Radio Clouds FM kwenye kipindi cha Amplify ambapo mahojiano yake na mtangazaji huyo 'Millard Ayo' yalikuwa kama ifuatavyo. " Ni picha tu mimi naona kama ni picha zingine tu za kawaida, sasa nimeshindwa kuelewa kwanini labda zimetengeneza sana stori kwasababu mimi naona sio mara yangu kwanza kupiga picha na Wema hata uki google utaona tunapicha nyingi sana kwa hiyo sijaelewa kwanini zimeleta stori May be nafikikiri zilizotengeneza stori zaidi ni hizi ambazo zinaonesha tuko chumbani kwasababu mimi nilikuwa nimelala kiukweli na tulikuwa tunakaa kwenye apartment moja nilikua nimeshtukia picha zipo kwenye mitandao unajua unavyokaa kwenye apartment kwasababu tuli...