Machapisho

Mume wa Isha Mashauzi Maarufu kama Tevez akatwa Uume Sauz Afrika baada ya kuiba madawa ya Kulevya

Picha
kimewaka south jamaa aficha madawa na kudai yamepotea. wazee wakazi wafanya yao ni Tevez mume wa fatma mchina au aliyekua mume wa isha mashauzi.Ndio hivyo washakata dudu wizi umemponza alikuwa mume wa Isha mashauzi.Wauza madawa wana roho ngumu sana  

DUNIA INA MAMBO...!! HUYU KAAMUA KUINGIA NA SHELA LA HARUSI MITAANI…KISA NI WAZAZI WAKE

Picha
Mwanamke mmoja nchini  Misri  ameamua kukatiza na gauni la arusi mitaani kupinga masimango anayokutana nayo kwa kuchelewa kuolewa. Samah Hamdi   mwenye miaka 27  alifikia uamuzi huo baada ya kuchoshwa na kashfa kutoka kwa watu wanaomzunguka ikiwemo familia yake hasa mama yake mzazi ambao wamekua wakimsema  kutokana na kutokua na mume mpaka sasa.

ZITTO AMWAGA MACHOZI UKUMBINI

Picha
Hakika wikiendi iliyopita ilikuwa ni shangwe tupu, lakini kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia leseni ya Chadema, Zitto Zuber Kabwe ilikuwa ya machungu pale alipojikuta akimwaga chozi ukumbini. Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia leseni ya Chadema, Zitto Zuber Kabwe akiwa na Christian Bela. Mpango mzima ulioshuhudiwa na paparazi wetu ulijiri kwenye Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar ambapo Bendi ya Malaika, chini ya Christian Bella ilikuwa ikishusha burudani ya kufa mtu. Wakati Mbunge wa Jimbo la Sikonge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Said Nkumba alitesa kwenye jukwaa la Msondo Ngoma pale TTC Chang’ombe, Temeke, Zitto alifunika vibaya Mango Garden, Kinondoni, kwani alikuwa zaidi ya shabiki, pedeshee na mwimbaji. Katika muda ambao watoto wa mjini husema ni usiku mnene, Zitto ambaye yupo katika mgogoro na chama chake, alipanda jukwaani wakati prezidaa wa Malaika Band, Christian Bella ‘Obama’ akiimba wimbo wake mpya wa ‘Nani Kama Mama’ ambap...

Huyu ndie Star kutoka South Afrika anayetoka na wema Sepetu kwa sasa....Wema Afunguka

Picha
Nimekuwekea hapa U Heard ya leo January 20, story ya leo ni kuhusu tetesi kuwa mwigizaji Wema Sepetu baada ya kuachana na Diamond Platnumz kwa sasa ana uhusiano na mwanamitindo Mtanzania anayefanya kazi zake Afrika Kusini,  Ally Daxx. Mwanamitindo Ally Dax. Gossip Cop alimtafuta Wema na kumuuliza kuhusu story hiyo kama kuna ukweli wowote, Wemaamekataa kuwa na uhusiano na mwanamitindo huyo.

Picha: Angalia Daily Mail Walivyomuumbua Balotelli

Picha
Gazeti la Daily mail limemuumbua mshambuliaji kutoka nchini Italia pamoja na klabu ya Liverpool, Mario Balotelli kwa kuanika picha zake mtandaoni, saa chache baada ya mchezo wa ligi kuu ya soka nchini England ambao ulishuhudia The Reds wakiibuka na ushindi wa mabao mawili kwa sifuri dhidi ya Aston Villa mwishoni mwa juma lililopita

HAKIKA HUYU MREMBO WA BONGO MUVI ANAPENDEZA HASWAA ...ANA SWAGA BALAA...HEBU CHEKI PICHA ZAKE 10 HAPA

Picha

HATIMAYE DIAMOND AMPACHIKA MIMBA ZARI

Picha
Baada ya sokosoko kuu la kwanini?? muda wote huu kijana Nassib Abdul – Diamond Platnumz pamoja na list yake ndeeeefu ya mabinti wa bongomovies aliowahi kutembea nao hajawahi kuwa hata na mtoto wa kusingiziwa, HATIMAYE jana kupitia kwenye nyezo za kiteknolojia tumeweza kudokezwa juu ya ujauzito alionao mwanadada  ZARI  ambao ni fika utakuwa wa kijana huyu anayetamba na wimbo wa “Nitampata wapi” ambao wachunguziwa mambo wanadai ETi ni dedication kwa mpenzi wake maarufu wa zamani.