NAFASI YA KAZI

Anatafutwa Dispenser aliyesajiliwa leo ama kesho tayari kwa kuanza kazi. Kituo ni hapa hapa Dar es salaam.
Awe na cheti cha pharmacy mwaka mmoja
Awe na cheti cha leseni.
Zaidi awe wa kike. Awe mkazi wa Dar. Wasiliana kwa no: 0656710535 Utapelekwa moja kwa moja.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA