NENGO MINING CONTRACTOR KUANZA KAZI HIVI KARIBUNI

Kampuni hii iliyobobea katika fani ya uchimbaji wa long hole, alimaki na shughuli zingine za kitaaluma ndani ya migodi inategemea kuanza kazi zake rasmi hivi karibuni katika maeneo ya Bulyanhulu, Geita, Mara, Singida, Singida, Tabora, Mbeya na Mtwara. Inao wataalamu waliobobea katika fani hii. Experts ambao wanafanyakazi nchi tofauti duniani, ikiwemo Mali, Ghana, Indonesia, Kongo, Zambia na zingine nyingi. Wanaomba ushirikiano na kila kampuni inayotoa tender za uchimbaji. Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hii Bwana Sospeter Fabian Sollo.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA