Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2017

MWANAUME ASIYE NA MAKAO APITA NA MAMILION YA PESA UFARANSA

Mwanamume asiye na makao apata pesa nyingi uwanja wa ndege Ufaransa Mwanamume asiye na makao apata pesa nyingi uwanja wa ndege Ufaransa Mwanamume ambaye alipata puani 260,000 baada ya kuegemea mlango wa kampuni ya Charkles de Gaulle kwenye uwanja wa ndege nchini Ufaransa anaaminiwa kuwa mtu asiye na makao. Polisi wanasema kuwa walimtambua mwanamume huyo kupitia kwa kamara za cctv kama mmoja wa watu wanaolala karibu na uwanja wa ndege. Mlango wa kampuni inayoshughulikia masuala ya fedha ya Loomis terminal 2F, ulikuwa umeachwa bila kufungwa na mwanamume ambaye umri wake unatajwa kuwa wa miaka 50 hivi alitoka nje akiwa na mifuko miwili ya pesa. Kwa sasa anasakwa na polisi.Mwendo wa saa (16:30 GMT) Ijumaa iliyopita king'ora kililia katika kampuni hiyo inayohusika na masuala ya fedha. Maafisa waliochunguza video ya cctv waligundua kuwa mwananammue huyo alikuwa akitafuta kwenye ndoo za taka nje ya ofisi hizo, na kuonekaka kushangazwa wakati mlango aliokuwa ameegema ul...

CRISTIANO RONALDO MMMH!

Cristiano Ronaldo 'anataka kuihama' Real Madrid juu ya kodi 16 Juni 2017 Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpya Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Cristiano Ronaldo amekuwa Real Madrid kwa miaka minane Nyota wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo amekereka sana baada ya tuhumiwa kwamba alifanya ulaghai wakati wa ulipaji ushuru na anataka kuihama klabu hiyo, duru zimeiambia BBC. Waendesha mashtaka nchini Uhispania wanamtuhumu Ronaldo, 32, kwa kutumia ulaghari kutolipa mamilioni ya ushuru. Amekanusha tuhuma hizo. "Anahisi kwamba amekuwa mkweli, ana sifa nzuri na alifanya kila kitu ipasavyo," ameongeza mdokezi. Mkataba wa Ronaldo katika klabu hiyo ya Madrid una kifungu cha euro bilioni moja (£874.88m), ambacho kinafaa kufikishwa ndipo afunguliwe kutoka kwa mkataba...

HIVI HAPA VYUO VIKUU BORA ZAIDI DUNIANI MWAKA 2017

Vyuo vikuu bora zaidi duniani mwaka 2017 Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpya Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako Orodha mpya ya kila mwaka ya vyuo vikuu bora zaidi duniani imetangazwa, ambapo chuo kikuu cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) cha Marekani bado kinaongoza. Vyuo vikuu vya Stanford na Harvard - pia kutoka Marekani - kadhalika vimeendelea kushikilia nafasi ya pili na ya tatu mtawalia. Orodha hiyo ilishirikisha vyuo vikuu karibu 1,000. Facebook kuwa somo chuo kikuu India Vyuo vikuu hupimwa kwa mambo kama vile majarida na vitabu vya kisomi vilivyochapishwa, makala zilizonukuliwa, maoni ya wasomi pamoja na waajiri na pia ushiriki wa vyuo vikuu hivyo katika ngazi ya kimataifa. Chuo kikuu cha Nairobi kimeorodheshwa kuwa kati ya nambari 801 na nambari 1000, kutoka kuanzia nambari 701 hadi 1000mwaka jana, sawa...

TRUMP AKIRI KWAMBA ANACHUNGUZWA MAREKANI

Trump akiri kwamba anachunguzwa Marekani 16 Juni 2017 Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpya Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Donald Trump amekana tuhuma kwamba maafisa wake walishirikiana na maafisa wa Urusi Rais wa Marekani Trump amethibitisha kwamba anachunguzwa yeye binafsi kutokana na hatua yake ya kumfuta kazi mkuu wa Shirika la Uchunguzi wa Jinai la Marekani FBI James Comey. Kupitia Twitter, Bw Trump amekariri kwamba uchunguzi unaoongozwa na mwendesha mashtaka maalum kuhusu tuhuma kwamba maafisa wa Urusi waliingilia uchaguzi wa mwaka 2016 ili kumfaa Trump hauna msingi. Ni mara ya kwanza kwa Bw Trump kuzungumzia taarifa kwenye magazeti kwamba anachunguzwa kwa tuhuma za kuhujumu mifumo ya haki kwa kumfuta kazi Bw Comey. Waziri mkuu Australia amkejeli rais wa marekani Dona...

NENGO MINING CONTRACTOR KUANZA KAZI HIVI KARIBUNI

Kampuni hii iliyobobea katika fani ya uchimbaji wa long hole, alimaki na shughuli zingine za kitaaluma ndani ya migodi inategemea kuanza kazi zake rasmi hivi karibuni katika maeneo ya Bulyanhulu, Geita, Mara, Singida, Singida, Tabora, Mbeya na Mtwara. Inao wataalamu waliobobea katika fani hii. Experts ambao wanafanyakazi nchi tofauti duniani, ikiwemo Mali, Ghana, Indonesia, Kongo, Zambia na zingine nyingi. Wanaomba ushirikiano na kila kampuni inayotoa tender za uchimbaji. Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hii Bwana Sospeter Fabian Sollo.

TATIZO LA KOMPYUTA LATATIZA SAFARI ZA NDEGE ZA BRITISH AIRWAYS

Tatizo la kompyuta latatiza safari za ndege za British Airways Saa moja iliyopita Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpya Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako Msongamano wa abiria wa kampuni ya British Airways katika uwanja wa ndege wa Heathrow Image caption Msongamano wa abiria wa kampuni ya British Airways katika uwanja wa ndege wa Heathrow Abiria wanaosafiri na Shirika la Ndege la British Airways, wamecheleweshwa kwa sababu ya matatizo ya kompyuta. Baadhi ya ripoti zinaeleza kuwa matatizo hayo huenda yameathiri shughuli za shirika hilo dunia nzima. BA imeomba msamaha katika mitandao ya jamii, na inasema inajaribu kumaliza tatizo hilo haraka iwezekanavyo. China yazindua meli kubwa ya kivita Ndege ya kwanza iliyoundwa China yapaa Tanzania kununua ndege mpya ya Boeing Tatizo hilo linamaanisha kwamba baadhi ya tovuti za kampuni hiyo ya ndege haipatikani na kwamba b...

MAREKANI KUFANYA MAJARIBIO YA KUDUNGUA MAKOMBORA YA MASAFA MAREFU

Marekani kufanya majaribio ya kudungua kombora Saa 4 zilizopita Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpya Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako Mfumo wa kudungua makombora wa Marekani uliopelekwa Korea Kusini Image caption Mfumo wa kudungua makombora wa Marekani uliopelekwa Korea Kusini Idara ya jeshi nchini Marekani kwa mara ya kwanza itajaribu kudungua kombora la masafa marefu lililo na uwezo wa kufyatuliwa kutoka bara moja hadi bara lingine. Maafisa wa Pentagon wanasema jaribio hilo litafanyika Jumatano, wiki ijayo. Kumekuwa na wasiwasi mjini Washington kuhusu uboreshaji wa miradi ya kinyuklia na makombora ya masafa marefu ya Korea Kaskazini. Mkuu wa shirika la ujasusi la Marekani anasema iwapo miradi ya Korea Kaskazini ya kutengeneza makombora haitodhibitiwa, basi taifa hilo lina uwezo wa kutengeneza kombora lenye uwezo wa kufikia Marekani. Korea Kaskazini kuteng...