Picha: Real Madrid ya Hispania baada ya kutwaa ubingwa wa kombe lao la 11 la UEFA walivyo pokewa katika Jiji la Madrid
Real Madrid walifanikiwa kutwaa Kombe lao 11, huku Atletico wakiambulia kushindwa kuweka rekodi ya kutwaa Kombe hilo kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu yao, Real Madrid walifanikiwa kuifunga Atletico kwa mikwaju ya penati 5-3, hiyo ni baada ya dakika 120 kumalizika kwa sare ya goli 1-1.
Real Madrid waliwasili Hispania katika jiji la Madrid wakiwa na Kombe lao la 11 la UEFA nakupokelewa na mashabiki wengi walio jitokeza kwa wingi katika jiji hilo la Madrid.
Maoni
Chapisha Maoni