LOWASSA ATIKISA SHINYANGA LEO KWENYE HARAKATI ZA KUELEKEA IKULU
ahama Shinyanga katika viwanja vya Stendi mpya, toka asubuhi Kahama
ilisimama kwa muda leo wakimsubiri Mhe. Edward Ngoyai Lowassa, Jumatatu
14/09/2015
Edward Ngoyai Lowassa na James Lembeli wakikabidhiwa mkuki,upinde,mshale na usinga na wazee wa Kahama kuonyesha wao ni viongozi - Kahama leo Jumatatu 14/9/2015
Mama Regina Lowasa Ndani ya Solwa,Shinyanga Leo.

Maoni
Chapisha Maoni